Mwanzo > NDONDI > STUMAI, GRACE WAWASHINDA WAMALAWI DAR HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI NDONDI STUMAI, GRACE WAWASHINDA WAMALAWI DAR BONDIA Stumai Muki amemshinda kwa pointi Chimwemwe Banda wa Malawi katika pambano lisilo la ubingwa jana ukumbi wa Ubungo Plazza Jijini Dar es Salaam.Bondia mwingine wa kike wa Tanzania, Grace Mwakamele alimshinda kwa pointi pia Luckia Ali wa Malawi. Thursday, March 23, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI NDONDI
0 comments:
Post a Comment