Mwanzo > SIMBA > UCHAGUZI MKUU SIMBA SC KUFANYIKA JULIUS NYERERE CENTRE HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA UCHAGUZI MKUU SIMBA SC KUFANYIKA JULIUS NYERERE CENTRE UCHAGUZI Mkuu wa klabu ya Simba utafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Januari 29, mwaka huu kuanzia Saa 2:00 asubuhi. Saturday, January 21, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment