Mwanzo > ZANZIBAR > MSAFARA WA YANGA WAMTEMBELEA MAMA KARUME ZANZIBAR HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA ZANZIBAR MSAFARA WA YANGA WAMTEMBELEA MAMA KARUME ZANZIBAR MSAFARA wa Yanga uliokuwa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi chini ya Rais wake, Mhandisi Hersi Said leo umefika nyumbani kwa mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Mama Fatma Karume huko Maisara na kumuonyesha mataji manne waliyotwaa mwaka 2022. Saturday, January 07, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA ZANZIBAR
0 comments:
Post a Comment