ALIYEWAHI kuwa Daktari wa klabu ya Simba, Yassin Gembe amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. Hadi anakutwa na umauti, Gembe aliyewahi pia kuwa Daktari wa Mtibwa Sugar, alikuwa anatoa huduma hiyo kwa timu ya vijana.
0 comments:
Post a Comment