WENYEJI, Singida Big Stars wamelazimishwa sare ya 0-0 na jirani zao, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI, zamani Namfua mjini Singida.
Dodoma Jiji inaokota pointi ya kwanza baada ya kufungwa mechi zote mbili za awali, wakati Singida Big Stars imetimiza pointi saba kufuatia kushinda mbili za awali.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment