NA huko Hispania taarifa zinasema Muargentina Lionel Messi amesaini mkataba wa miaka mitano kubaki Barcelona – lakini kwa punguzo la asilimia 50 ya malipo. Mkataba huo mpya aliosaini baada ya ule wa awali kumalizika utamfanya adumu Camp Nou hadi atakapofikisha umri wa miaka 39.
0 comments:
Post a Comment