BODI YA LIGI YAWATOZA YANGA SC FAINI SH. MILIONI 3.8 KWA KUVUNJA MAGETI KWENYE PAMBANO DHIDI YA SIMBA DAR
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imeitia hatiani klabu ya Yanga kwa makosa mbalimbali katika mchezo dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Julai 3, mwaka huu na kuitoza faini jumla ya Sh. Milioni 3.8.
Item Reviewed: BODI YA LIGI YAWATOZA YANGA SC FAINI SH. MILIONI 3.8 KWA KUVUNJA MAGETI KWENYE PAMBANO DHIDI YA SIMBA DAR
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment