YANGA SC YAMREJESHA MADARAKANI KATIBU MKUU WAKILI MSOMI SIMON PATRICK ALIYESIMAMISHWA NOVEMBA 8 MWAKA JANA
KLABU ya Yanga SC imemrejesha katika nafasi yake, Katibu Mkuu Wakili Simon Patrick baada ya kubaini tuhuma zilizosababishwa asimamishwe Novemba 8 mwaka jana hazina ukweli.
Item Reviewed: YANGA SC YAMREJESHA MADARAKANI KATIBU MKUU WAKILI MSOMI SIMON PATRICK ALIYESIMAMISHWA NOVEMBA 8 MWAKA JANA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment