NYOTA WA PSG MUARGENTINA MAURO ICARDI ATINGA MBUGA YA SERENGETI KUTALII PAMOJA NA MKEWE
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Argentina, Mauro Emanuel Icardi anayechezea Paris Saint-Germain ya Ufaransa akiwa mapumziko katika Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania pamoja na mkewe Wanda Icardi, ambaye pia ni wakala wake.
0 comments:
Post a Comment