SERENGETI BOYS KUFUNGUA DIMBA NA WENYEJI, RWANDA MICHUANO YA CECAFA U17 RUBAVU
TANZANIA itafungua dimba na wenyeji, Rwanda kwenye michuano ya CECAFA U20 inayotarajiwa kuanza kesho hadi Desemba 22 huko Rubavu. Serengeti Boys watateremka Uwanja wa Umuganda mjini Rubavu Jumatatu kucheza na Rwanda kabla ya kurudi tena uwanjani hapo Desemba 17 kumenyana na Djibouti.
0 comments:
Post a Comment