BODI YA LIGI YAANDAA WARSHA MAALUM KUWAJENGEA UWEZO MAKATIBU NA WATENDAJI WA KLABU
BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imeandaa warsha ya siku tatu kwa ajili ya kuwajengea uwezo Watendaji na Makatibu Wakuu wa klabu za Ligi Kuu ambayo itaendeshwa na wataalamu wa La Liga.
0 comments:
Post a Comment