Sergio Ramos akishangilia baada ya kuiwezesha Real Madrid kutinga Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey kufuatia sare ya 3-3 na wenyeji Sevilla Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan. Mabao ya Sevilla yalifungwa na Danilo aliyejifunga dakika ya 10, Jovetic dakika ya 53 na Iborra dakika ya 77 wakati ya Real yalifungwa na Asensio dakika ya 48, Ramos dakika ya 83 na Benzema dakika ya 90, hivyo Real kufuzu kwa ushindi wa jumla wa 6-3 baada ya awali kushinda 3-0 Bernabeu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment