Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akiwa amezungukwa na wachezaji wa Real Betis katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Timu hizo zimetoka 1-1, Betis wakitangulia kwa bao la Alex Alegria dakika ya 75, kabla ya Luis Suarez kuisawazishia Barca dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment