Alex Iwobi akishangilia baada ya shuti lake kumbabatiza Jack Cork na kujifungia dakika ya 54 kuipatia Arsenal bao la pili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji Swansea City leo Uwanja wa Liberty. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Olivier Giroud dakika ya 37, Kyle Naughton aliyejifunga pia dakika ya 67 na Alexis Sanchez dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment