Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akifumua shuti kuifungia timu yake katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Getafe kwenye mchezo wa La Liga jioni ya leo. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema mawili na Gareth Bale moja, wakati la Getafe limefungwa na Alexis PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Boxing chief Turki Alalshikh calls out Dua Lipa in bizarre rant about pop
sensation during Tyson Fury vs Anthony Joshua press conference
-
On Wednesday evening, Britain's two most iconic boxers of the last two
decades went face to face for the first time since their eagerly
anticipated super-f...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment