Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiruka kama mkizi kuifungia timu yake katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Las Palmas jioni ya leo katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Isco na Jese Rodriguez, wakati la Palmas limefungwa na Hernan Santana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment