Mshambuliaji wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski akipiga kichwa mbele ya mabeki wa Cologne kuifungia Bayern Munich bao la tatu katika ushindi wa 4-0 jioni ya leo Uwanja wa Allianz Arena katika mchezo wa Bundesliga. Mabao mengine ya Bayern Munich yamefungwa na Arjen Robben, Arturo Vidal na Thomas Muller kwa penalti. Ushindi huo wa 1,000 kwa The Bavarians tangu kuanzishwa kwa Bundesliga, unaifanya Bayern iwe timu ya kwanza kushinda mechi 10 mfululizo za ligi hiyo kihistoria. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment