FALCAO AWALI MANCHESTER TAYARI KWA VIPIMO VYA AFYA
Mshambuliaji Radamel Falcao (kiti cha nyuma) akiwasili viwanja vya mazoezi vya Manchester United kwa ajili ya vipimo vya afya baada ya kuhamishiwa klabu hiyo kwa mkopo kutoka Monaco. Picha ya chini akiwa kwenye ndege baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Manchester.
0 comments:
Post a Comment