NAFASI NZURI AMBAYO UHURU ANGEFUNGA, SIMBA SC INGESHINDA LEO DHIDI YA COASTAL
Kiungo wa Simba SC, Uhuru Suleiman alibaki yeye na kipa wa Coastal Union, Shaaban Kado dakika za mwishoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, lakini akapiga juu ya lango. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.
0 comments:
Post a Comment