• HABARI MPYA

    Wednesday, July 02, 2014

    VAN PERSIE AIBUA HOFU UHOLANZI KABLA YA KUIVAA COSTA RICA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

    MSHAMBULIAJI Robin van Persie aliondoka kwenye mazoezi ya timu yake ya taifa, Uholanzi baada ya saa moja ya kujifua vikali mjini akiwa amefungwa plasta mguuni mjini Rio leo. 
    Nyota huyo wa Manchester United, ambaye amebeba matumaini ya kocha Louis van Gaal kutwaa Kombe la Dunia, alikuwa amefungwa plasta ya kutosha katika mguu wake wa kushoto wakati wakiondoka kwenye kambi ya mazoezi ya Flamengo.  
    Uholanzi inamenyana na Costa Rica mjini Salvador katika Robo Fainali ya Kombe la Dunia Jumamosi na inamuhitaji van Persie kuwa fiti. 
    Majeruhi? Nahodha Robin van Persie (kushoto) aliondoka kwenye mazoezi ya Uholanzi akiwa amefungwa plasta mguuni
    Big blow: Van Persie left Holland's training camp with his left thigh taped up after the hour long sesssion in Rio
    Van Persie alimaliza mazoezi mjini Rio akiwa amefungwa plasta
    Time to shine: Klaas-Jan Huntelaar could start for the Dutch if Van Persie is unfit to face Costa Rica
    Wakati wa kung'ara: Klaas-Jan Huntelaar anaweza kuanza ikiwa Van Persie hatakuwa fiti katika mchezo na Costa Rica
    In-genius idea? Arjen Robben (front) stays on his feet as he underwent during a speed resistance drill
    Arjen Robben (mbele) yuko fiti kwa ajili ya mchezo huo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VAN PERSIE AIBUA HOFU UHOLANZI KABLA YA KUIVAA COSTA RICA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top