• HABARI MPYA

    Wednesday, July 02, 2014

    EVANS AVEVA ALIVYOANZA KAZI SIMBA SC LEO

    Rais mpya wa Simba SC, Evans Aveva (wa pili kulia) akiwa na Makamu wake, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kushoto na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji, Said Tuliy kulia, Salim Abdallah na Iddi Kajuna leo makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi wakati wakikagua jengo hilo.
    Aveva akiwa na timu na yake wakikagua jengo
    Jengo linahitaji ukarabati
    Hapa anakabidhiwa fomu za mikataba ya wachezaji na Katibu Mkuu wa klabu, Ezekiel Kamwaga kulia

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EVANS AVEVA ALIVYOANZA KAZI SIMBA SC LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top