Namba 1: Kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal akikabidhiwa jezi nambari moja na gwiji wa Mashetani hao Wekundu, Sir Bobby Charlton wakati wa kutambulishwa kwake leo makao makuu ya klabu hiyo, Carrington.
+9
Van Gaal amesema United ilikuwa klabu kubwa duniani
0 comments:
Post a Comment