• HABARI MPYA

    Wednesday, July 02, 2014

    LUKAKU AIPELEKA UBELGIJI ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA, YAILAZA MAREKANI 2-1 DAKIKA 120

    Romelu Lukaku kulia akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Ubelgiji bao la pili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Marekani mchezo wa mwisho wa 16 Bora Kombe la Dunia nchini Brazil usiku huu. Lukaku pia alimtengenezea Kevin de Bruyne kufunga bao la kwanza, wakati bao pekee la Marekani lilifungwa na Julian Green katika mcbezo huo uliodumu kwa dakika 120, baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90. Jumatano ni mapumziko na Robo Fainali zitaanza kuchezwa Alhamisi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LUKAKU AIPELEKA UBELGIJI ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA, YAILAZA MAREKANI 2-1 DAKIKA 120 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top