Chelsea imeifunga 3-1 Southampton Uwanja wa Stamford Bridge, London katika Ligi Kuu ya England, mabao ya Gary Cahil dakika ya 55, John Terry dakika ya 62 na Demba Ba dakika ya 90, wakati bao pekee la wapinzani limefungwa na Rodriguez dakika ya kwanza. Pichani ni Terry akishangilia baio lake.
0 comments:
Post a Comment