KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),
imesimamisha Uchaguzi wa shiriksiho hilo, hadi hapo iatakapotangazwa baadaye.
Taarifa ilyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Deo
Lyatto imesema kwamba, Kamati yake imechukua hatua hiyo kutokana na mamlaka iliyonayo
Kikatiba.