Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho
akiwa megeni rasmi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Jamhuri ya
Pemba na Kedus Giorgis ya Ethiopia, akisalimiana na wachezaji wa Giorgis kabla
ya kuanza kwa mchezo huo, ambao wageni walishinda 3-0. Picha na Haji Nassor Pemba.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho
akiwa megeni rasmi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Jamhuri ya
Pemba na Kedus Giorgis ya Ethiopia, akisalimiana na mchezaji wa Jamhuri, Ally Ahmed 'Shiboli' kabla