Picha ya juu ni kocha wa Zamalek, Hassan Shehata (kushoto) akifanya mazoezi na wachezaji wake kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya wenyeji Yanga. Chini ni Amr Zaki, mshambuliaji tegemeo wa timu hiyo akikokota mpira katika mazoezi hayo. Kesho shughuli itakuwa pevu.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago




.png)
0 comments:
Post a Comment