
Viungo washambuliaji wa Simba SC, Mghana Bernard Morrison (kushoto) na Luis Miquissone kutoka Msumbiji (kulia) wakifanya mazoezi ya kuongeza nguvu mwilini kipindi hiki cha mapumziko mafupi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kupisha mechi za kimataifa
Wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi ya kuongeza nguvu mwilini gym kipindi hiki cha mapumziko mafupi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kupisha mechi za kimataifa




.png)
0 comments:
Post a Comment