Mamia ya mashabiki wakiwalaki wachezaji wa Athletic Bilbao wakirejea mjini Bilbao baada ya kutwaa taji la Super Cup ya Hispania kwa kuifunga Barcelona jumla ya mabao 5-1, wakianza na ushindi wa 4-0 nyumbani kabla ya kulazimisha sare ya 1-1 juzi Uwanja wa Camp Nou, Barcelona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wheatley reacts to historic 'honour'
-
See what 18-year-old Ethan said, after becoming the club's 250th player to
graduate from the Academy.
55 minutes ago
0 comments:
Post a Comment