COASTAL UNION YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB KWA MATUTA
TIMU ya Coastal Union imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya ushindi wa Penalti 4-2 kufuatia sare ya bila mabao ndani ya dakika 90 jioni ya leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
0 comments:
Post a Comment