Mwanzo > SIMBA SC > MUZAMIL YASSIN APELEKWA KWA MKOPO TRA UNITED HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA SC MUZAMIL YASSIN APELEKWA KWA MKOPO TRA UNITED KLABU ya Simba imemtoa kiungo wake mkongwe, Muzamil Yassin Said Selemba kwenda TRA United kwa mkopo wa hadi mwisho wa msimu.Muzamil amekuwa mchezaji wa Simba SC kwa miaka 10 sasa tangu amewasili Januari mwaka 2016 kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro. Thursday, January 15, 2026 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA SC
0 comments:
Post a Comment