SIMBA SC YAMSAJILI KINDA WA MTIBWA LADAKI CHASAMBI
KLABU ya Simba SC imemtambulisha rasmi kiungo Ladaki Juma Chasambi (19) kama mchezaji wake mpya kutoka klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro. Huyo anakuwa mchezaji mpya watatu kwa Wekundu hao wa Msimbazi dirisha hili dogo baada ya mshambuliaji mzawa, Saleh Kikuya na kiungo Msenegal, Babacar Sarr.
0 comments:
Post a Comment