Mwanzo > SIMBA > WANACHAMA SIMBA WAPEWA HADI DESEMBA 31 MAONI YA KATIBA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA WANACHAMA SIMBA WAPEWA HADI DESEMBA 31 MAONI YA KATIBA UONGOZI wa Simba umewahamasisha wanachama wake kuwa wamemaliza kutoa maoni yao juu ya marekebisho ya Katiba ya klabu hiyo hadi kufika Desemba 31, mwaka huu ili mchakato huo uweze kukamilishwa. Tuesday, December 26, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment