TIMU YA TAIFA YAENDA TUNISIA MICHEZO YA AFRIKA SOKA YA UFUKWENI
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya soka la ufukweni wakiwa Uwanja ea Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati wa safari ya kwenda Tunisia kwenye mashindano ya Afrika (Africa Beach Games).
0 comments:
Post a Comment