ANUARY JABIR WA KAGERA SUGAR AANZA MAJARIBIO UBELGIJI
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Anuary Jabir wa Kagera Sugar ya Bukoba leo ameanza mazoezi ya majaribio ya kujiunga na klabu ya AA Gent ya Ubelgiji chini ya usimamzi wa wakala Mtanzania anayetambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
0 comments:
Post a Comment