Mwanzo > SIMBA > WAWILI TU WAPITISHWA KUWANIA UENYEKITI SIMBA SC HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA WAWILI TU WAPITISHWA KUWANIA UENYEKITI SIMBA SC WAKILI Moses Stewart Kaluwa amepitishwa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa klabu ya Simba dhidi ya Mwenyekiti wa sasa, Mbunge wa zamani wa Kilwa Kaskazini, Ally Murtaza Manungu katika uchaguzi wa mapema mwakani. Sunday, December 25, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment