MAKOCHA wapya wa Azam FC kutoka Hispania, Dani Cadena na wa Mikel Guillen wamewasili usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es Salaam tayari kuanza kazi. Dani Cadena anakuja kuwa kocha wa makipa Azam FC, wakati Mikel Guillen anakuwa kuwa kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili.
0 comments:
Post a Comment