KILIMANJARO QUEENS TAYARI KUIVAA SUDAN KUSINI KESHO JINJA
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens wakiwa mazoezini leo Jinja nchini Uganda kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa CECAFA Challenge dhidi ya Sudan Sudan kesho baada ya kuwasili mapema leo.
0 comments:
Post a Comment