VIGOGO, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga yamefungwa na Mapinduzi Balama dakika ya 19, Heritier Makambo dakika ya 52 na Fiston Kalala Mayele kwa penalti dakika ya 71, wakati ya Mafunzo yamefungwa na Ahmed Maulid dakika ya tisa na Abdulhakim dakika ya 55.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment