Beki wa Manchester United, Marcos Rojo akimzuia kwenda kufunga mshambuliaji wa Leicester City, Riyad Mahrez aliyeanguka chini ingawa refa hakutoa penalti katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1 wenyeji Man United wakitangulia kwa bao la Anthony Martial dakika ya nane kabla ya Wes Morgan kuisawazishia Leicester dakika ya 17 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment