Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akiwa amezimia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, baada ya kugongana ba beki wa Azam FC, Aggrey Morris katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliomalizika kwa sare ya 1-1. Okwi alianza kuifungia Simba SC kabla ya Kipre Tchetche kuisawazishia Azam FC.
Anapelekwa kwenye Ambulance akimbizwe hosptali ya taifa, Muhimbili.
0 comments:
Post a Comment