![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar (kushoo) akimtoka beki wa KMKM katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi jana Uwa ja wa Amaan, Zanzibar. Azam FC ilishinda 1-0. |
![]() |
| Beki wa Azam FC, Aggrey Morris aliyeruka juu kabisa kupiga kichwa langoni mwa KMKM |
![]() |
| Beki wa KMKM mbele akimdhibiti mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco |
![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akimiliki mpira mbele ya kiungo wa KMKM |
![]() |
| John Bocco akipambana na beki wa KMKM |
![]() |
| Winga Mganda wa Azam FC, Brian Majwega akimtoka beki wa KMKM |








.png)
0 comments:
Post a Comment