SI MWIZI, NI SHABIKI WA FRIENDS RANGERS YA MANZESE NDANI YA KARUME
Shabiki la Friends Rangers likicheza sarakasi kwenye mchanga Uwanja Karume kushangilia timu yake ilipokuwa ikimenyana na Ashanti United katika mchezo wa Ligi Daraja la kwanza Tanzania Bara jana, Rangers ilishinda 2-1.
0 comments:
Post a Comment