HALI YA JAMAL BAKHRESA LEO NYAMIRAMBO BAADA YA AZAM KUTOLEWA KAGAME
Mjumbe wa bodi ya Ukurugenzi ya Azam FC, Jamal Bakhresa kushoto leo katika mchezo wa Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame baina ya timu hiyo na El Merreikh ya Sudan Uwanja wa Nyamirambo, Kigali, Rwanda. Merreikh ilishinda kwa penalti 4-3 baada ya sare ya 0-0.
0 comments:
Post a Comment