• HABARI MPYA

    Thursday, June 19, 2014

    WACHEZAJI WA CAMEROON NA CROATIA WABADILISHA 'VICHUPI' BAADA YA MECHI

    NYOTA wa Croatia, Ivan Rakitic na Stephane M’Bia wa cameroon jana walibadilishana bukta baada ya mechi ya Kundi A Kombe la Dunia baina ya time hizo.
    Licha ya Rakitic kuiongoza Croatia kuifumua timu ya M'Bia mabao 4-0 na kuwatupa nje ya michuano, wachezaji hao wawili wa zamani wa Sevilla bado walitaniana na kubadilisha vifaa vya mchezo.
    Wachezaji wote walikuwamo kwenye kikosi cha Sevilla kilichotwaa taji la Europa League msimu uliopita, lakini Unai Emery amewapoteza wote Rakitic akisaini Barcelona na M'bia akirejea klabu yake mama, QPR.
    Wanavuliana: Ivan Rakitic (kushoto) wa Croatoa  Stephane M'Bia wakibadilishana pensi zao baada ya mechi
    Old pals: Rakitic and M'Bia were team-mates at Europa League winners Sevilla last season
    Chukua: Rakitic na M'Bia wakiviliana nguo
    Well played: The pair were left in just their underwear having already swapped shirts on the field
    Urafiki uliotukuka, hadi kubadilishana nguo za ndani
      Best of enemies: M'bia and Rakitic leave the field together after Croatia's 4-0 Group A victory
      Wapinzani marafiki: M'bia na Rakitic wakiondoka pamoja uwanja baada ya Croatia kuilaza  4-0
      • Blogger Comments
      • Facebook Comments

      0 comments:

      Item Reviewed: WACHEZAJI WA CAMEROON NA CROATIA WABADILISHA 'VICHUPI' BAADA YA MECHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
      Scroll to Top