KIKOSI cha England kimewasili mjini Sao Paulo leo wachezaji wake wakiwa wamepambwa na tabasamu kuelekea mchezo wa pili wa Kundi D dhidi ya Uruguay kesho.
Timu ya Roy Hodgson itaaga michuano hiyo iwapo itafungwa kesho Uwanja wa Sao Paulo.
Lakini Jack Wilshere, James Milner, na hats Hodgson waliwasili wakicheka wakati wakiteremka kwenye ndege mjini Rio de Janeiro.



.png)
0 comments:
Post a Comment