Kikosi kipya cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mazoezi leo Kunduchi kilipoweka kambi katika hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es Salaam. Stars Jumamosi itamenyana na Burundi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Tujitotokeze kuuona mseto huu mpya wa vipaji chini ya makocha wazalendo.
0 comments:
Post a Comment