KILIMANJARO STARS WAKIJIFUA KWA TUSKER CHALLENGE 2012
Beki wa timu ya taifa ya Bara, Kilimanajro Stars, Kevin Yondan (kushoto) akiwa mazoezini kwenye Uwanja wa CCM
Kirumba mjini Mwanza, kujiandaa na mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika
Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge yanayotarajiwa kufanyika mjini
Kampala, Uganda kuanzia Jumamosi wiki hii. Timu hii inadhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager.
Wachezaji wa
timu ya taifa ya Bara, Kilimanajro Stars wakiwa mazoezini kwenye Uwanja wa CCM