Mwanzo > SIMBA > SIMBA SC YATISHIA KUTOINGIZA TIMU KWA MKAPA LEO DHIDI YA YANGA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA SIMBA SC YATISHIA KUTOINGIZA TIMU KWA MKAPA LEO DHIDI YA YANGA KLABU ya Simba imetishia kutocheza mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Yanga leo baada ya usiku wa jana kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kwa mujibu wa kanuni. Saturday, March 08, 2025 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA
0 comments:
Post a Comment