Wachezaji wa Wolfsburg wakisherehekea ushindi wa taji la Super la Ujerumani baada ya kuifunga Bayern Munich kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 1-1, bao la Bayern likifungwa na Arjen Robben na Wolfsburg wakisawazisha kupitia kwa Nicklas Bendtner. Penalti za washindi zilifungwa na Rodriguez, De Bruyne, Schurrle, Kruse na Bendtner wakati za BayernSCORED - Vidal, Bayern zilifungwa na Alonso, Robben, Lahm na Costa huku Alonso akikosa. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment